ferret

n 1 aina ya nguchiro. 2 chunguzi. ferrety adj. vt 1 winda na cheche/nguchiro; tafutatafuta, peleleza, chunguza. 2 ~ something out/ ~ about (for something) gundua kwa kuchunguza, chunguza.