feminine

adj 1 -a kike, -a wanawake. 2 (gram) -a (jinsi ya) kike. femininity n ujike: hali ya kuwa mwanamke. feminism n tapo la kupigania ukombozi, haki, na usawa wa wanawake; nadharia ya usawa wa wanawake. feminist n mtetezi wa nadharia ya haki na usawa wa wanawake. feminize vt,vi 1 fanya/kuwa -a kike. 2 pa/pata/chukua tabia ya kike.