feint

n kisingizio, mwigo, hila, uwongo (to) make a ~ of doing something singizia kufanya jambo fulani. vi fanya shambulio la uongo (katika vita, ngumi ili kupoteza lengo/ kudanganya adui).