feed

n 1 chakula; malisho be off one's ~ -tokuwa na hamu ya chakula. 2 bomba la kupelekea vitu (malighafi) kwenye mashine; mali ghafi inayopelekwa kwenye mashine kwa bomba. ~-back n 1 mwitiko: majibu ya utekelezaji wa maazimio. 2 mwangwi katika redio. 3 (colloq) habari azitoazo mtumaji wa bidhaa kwa mtengenezaji n.k.; majibu, maoni. vt,vi 1 ~ on lisha; -la lions ~ chiefly on meat simba hula nyama ~ one's face kula kila mara. ~ oneself jilisha chakula. ~ up lisha chakula bora. be fed up (with) (fig,sl) choshwa na. ~ing-bottle chupa ya kunyonyeshea. 2. ~ to lisha/-pa chakula. 3 (chiefly of animals, colloq or hum of persons) -la chakula. 4 (of a belt) tawanya, gawa mali ghafi kwenye mashine. ~on -la (kama chakula). feeder n 1 (of plants and animals) mlaji be a large ~er wa mlishaji. 2 kitu kizidishacho au kitia nguvu kitu kingine. 3 (often attrib.) njia za reli, n.k. zinazoingia katika njia kuu. 4 chupa ya kunyonyeshea; bibu.