federal

adj 1 -a shirikisho 2. -a kuhusu serikali ya shirikisho. federalist n. federalism n. federate vt,vi (of State, Society, Organizations) unganisha, ungana kuwa shirikisho. federative adj. federatively adv. federation n 1 shirikisho. 2 uundaji wa shirikisho. 3 kitendo cha kuungana.