feature

n 1 sehemu ya uso (pua, midomo n.k.). 2 (pl) sura, uso. 3 sifa/sehemu muhimu the geographical ~s sura ya nchi (k.m. milima, maziwa, mabonde n.k.). 4 makala/habari maalum katika gazeti. 5 filamu (ndefu ya hadithi). vt 1 -wa sifa/sehemu muhimu ya. 2 fanya kuwa muhimu, maarufu. 3 onyesha a film that ~s a new singer filamu inayomwonyesha mwimbaji mpya. featureless adj -sio pendeza; sio na umuhimu, -sio na sifa muhimu.