feather

n unyoya. a ~ in one's cap kitu cha kujivunia. as light as a ~ -epesi sana. in full/high ~s kuwa katika furaha, hali/ afya nzuri. (to) show the white ~ onyesha woga. birds of a ~ (flock together) Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba. feather-bed n godoro la manyoya. vt penda mno; fanyia huruma/karimu; saidia. ~-bed the farmers toa misaada kwa wakulima. ~-brained; ~ headed adj -jinga; pumbavu; -enye mawenge. featherweight n (boxing) uzito wa unyoya. feathery adj -a laini na epesi kama unyoya. vt 1 pamba (kwa manyoya), tia manyoya. ~ one's nest 1 jitajirisha; jiletea raha, jianisi. 2 elea, pepea kama unyoya. 3 ~ one's oar pindisha kasia ili bapa likae juu ya maji.