feast

n 1 (~day) sikukuu; sherehe. 2 karamu. 3 (fig) kitulizo cha akili au hisi. vt,vi 1 (entertain) kirimu, karibisha; (delight) furahisha; (enjoy) jifurahisha. (to) ~ one's eye on something furahisha macho kwa kuangalia jambo fulani. 2 shiriki; shirikisha katika karamu; -la; lisha sana (na kusaza).