fawn

fawn

1 n 1 mtoto wa paa, paa mdogo (asiye na umri wa zaidi ya mwaka). 2 (colour) rangi ya paa kama hudhurungi, madafu.

fawn

2 vi (on) (of dogs) 1 onyesha furaha na upendo (kwa kurukaruka na kutikisa mkia). 2 (of persons) jipendekeza, jikomba; bembeleza.