fatigue

n 1 uchovu, mavune. 2 (of metals) kuchoka (kutokana na matumizi mengi). 3 kazi ya sulubu; (of soldiers) kazi zisizo za kijeshi (kupika, kulima). ~-party n kikosi cha wanajeshi n.k. kinachopewa kazi hizo. (pl) fatigues n nguo za wanajeshi. vt chosha.