fathom

n kina cha maji (futi sita, au mita 1.8), wari mbili. vt pima kina cha; elewa. fathomless adj -siopimika kina; -sioeleweka.