father

n 1 baba adoptive ~ baba wa kupanga putative ~ baba wa kudhaniwa step ~ baba wa kambo. the child is ~ to the man (prov) matendo ya utotoni yatajidhihirisha ukubwani. the wish is ~ to the thought (prov) imani yetu ni kwa yale mambo tunayotaka kuwa kweli. ~-in law n baba mkwe. ~-figure n mzee anayeheshimika (kwa ushauri wake wa kibaba). 2 (usu pl) mababu sleep with one's ~s zikwa pamoja na mababu. 3 mwanzilishi, kiongozi wa kwanza. F~s of the Church waanzilishi wa kwanza wa Kikristo katika (karne tano za mwanzo). F~ of the Nation n Baba wa Taifa. City F~s n madiwani. 4 Our (heavenly) ~ Mungu (Baba). 5 padre, kasisi; kiongozi katika nyumba ya mapadre the Holy ~ Baba Mtakatifu. 6 jina la kupanga ~ Christmas Baba Noeli. ~-hood n ubaba. ~-land n nchi ya kuzaliwa kwetu. fatherless -liofiwa na baba, yatima. fatherly adj ~ly love mapenzi ya baba. vt 1 asisi jambo/ wazo. 2 kubali kuwa baba (wa mtoto/mwandishi wa kitabu n.k). 3 ~ on/upon -pa ubaba wa mtoto; twisha mzigo.