n 1 jaala , majaliwa. as sure as ~ hakika. the F~sn miungu wa kike watatu wa Kigiriki (wa majaliwa). 2 kifo, mauti; maangamizi vt (usu pass) andikwa. it was ~d imeandikwa (na Mungu); tabiriwa kuwa. fataladj~ (to) -a kufisha, -a mauti; -baya fatal accident ajali ya kufisha his long absence was fatal to our plans kutokuwepo kwake kwa muda mrefu kuliharibu mipango yetu. fatal -a jaala. fatallyadv. fatalismn falsafa ya jaala/majaliwa. fatalistn muumini wa falsafa ya jaala. fatalisticadj -a jaala/majaliwa. fatalityn 1 msiba, baa. 2 kifo cha ajali/vita n.k. 3 mauti, athari mbaya (ya ugonjwa). fatefuladj 1 -a jaala, -a majaliwa. ~ful events matukio ya majaliwa. 2 -enye kutabiri.