fast

3 adj 1 -a upesi, -a haraka a ~ trip safari ya haraka. 2 (dated) (of person, his way of living) -a anasa, fujaji a ~ man mwanamume mfujaji mali, fisadi. 3 (of a watch/clock) -enye kukimbia my watch is ~ saa yangu inakimbia. 4 (of a surface) -enye kufanya iwe haraka/iwe na mwendo. 5 (of photographic film) -a muda mfupi adv 1 haraka, upesi he speaks ~ anasema upesi. 2 live ~ ishi kifisadi; (old use) she lives ~ by anaishi karibu.