fashion

n 1 a/the ~ mtindo. after/ina ~ kwa kadri/kiasi fulani. after the ~ of kwa mtindo wa. 2 mtindo wa kisasa. be all the ~ pendwa sana. come into/go out of ~ kuingia/ kutoka kwa mitindo. follow/be in the ~ fuata mtindo. set the ~ anzisha mtindo. a man/woman of ~ shabiki wa mitindo. ~ plate picha ionyeshayo mtindo wa nguo. vt unda. fashionable adj -a mtindo/-a siku hizi. a ~able hotel hoteli ya kisasa.