fascism

n 1 ufashisti. 2 serikali ya mrengu wa kulia inayogandamiza watu. fascist n fashisti adj -a kifashisti.