farm

n 1 shamba. ~ hand/~ worker n kibarua wa shamba. ~ yard n uwanja baina ya majengo shambani. 2 ~ house or ~ stead n nyumba ya mkulima shambani. vt,vi 1 (land) lima; (animals) fuga. 2 ~ out (to) toa kazi ikafanywe na wengine; kabidhi mtoto alelewe na mlezi. farmer n mkulima; mfugaji. farming n ukulima.