fare

fare

1 n nauli; uchukuzi what is the ~? nauli ni kiasi gani?; (passenger) msafiri, abiria.

fare

2 n (food) mlo. bill of ~ n orodha ya vyakula (vya karamu hotelini). be fond of good ~ penda sana kula. vt,vi 1 (proceed) (old use) enda, safiri; endelea how did you ~? uliendeleaje? he ~d well alifanikiwa. you may go farther and ~ worse unaweza kuendelea na kupata shida zaidi. 2 (happen) tukia, tokea. 3 (get on) -wa na hali, patwa na mambo. 4 (be entertained) tendewa, lishwa. 5 ~ forth anza safari. farewell interj. kwaheri, buriani n kuaga, maagano. say/bid well to aga, sema kwaheri adj ~ well speech/dinner hotuba/karamu ya kuagana.