farce

n 1 kichekesho; mchezo (jambo,hadithi) wa kuchekesha sana; (joke) utani; upuuzi. 2 matukio halisi ya upuuzi/kuchekesha. farcical adj. farcically adv.