far

adj 1 -a mbali. be ~ (from) -wa mbali sana (kutoka); (fig) -wa tofauti kabisa na. 2 the Far East n Mashariki ya Mbali. 3 chokomeani. the ~ end mwisho, chokomeani adv mbali we did not go ~ hatukwenda mbali. ~ between mara chache. as ~ as hata, mpaka, hadi. ~ and wide kotekote as ~ as the eye can reach upeo wa macho he is not ~ off sixty yeye anakaribia (miaka) sitini. how ~? umbali gani? ~ from (let alone, not to mention, not only) licha ya, sembuse. ~ from it hasha, sivyo. ~ be it from me siwezi; sipendi, mbali, sithubutu in so ~ as I am concerned kwa kadiri inavyonihusu mimi so ~ so good mpaka hapo sasa mambo ni mazuri. (to) go ~ to 1 enda mbali it won't go very ~ haifiki mbali sana that's going too ~ hilo linavuka mpaka. as ~ back as tangu ~ into the night hadi usiku wa manane. 2 (compounds) ~ fetched adj -sioaminika. ~ flung adj (rhet) -lioenea sana, -liotapakaa, liotawanyika. ~ reaching adj -enye athari nyingi. ~ seing adj -enye kuona mbali. ~ sighted adj -enye kuona mbali; (fig) -enye kuzingatia ya mbele, angalifu. ~ famed adj -enye kufahamika sana, maarufu. ~gone adj -lioingiliwa sana; lio zama (na ugonjwa, ulevi n.k.). ~ out tofauti kabisa, -a ajabu. 3 (with other adv & preps) ~ away mbali sana ~away beyond the river mbele sana ya mto. ~ from hata kidogo. ~ off mbali sana. by ~ kwa mbali. go ~ (of persons) enda mbali, penda sana; (of money) weza kununua bidhaa/huduma. go/carry too ~ vuka mpaka, zidi. as/so ~ as hadi, hata mpaka, kwa kadiri; (with qualifying adj & adv) sana, kwa kiasi kikubwa this is ~better hii ni afadhali sana. ~ and away (with comp and super) kwa mbali. ~ away adj -a mbali, -a zamani. farther adj -a mbali zaidi at the ~ther end mbali zaidi ~ther back nyuma zaidi; (later) mbele; (additional) -a zaidi adv mbali zaidi ~ther off si zaidi ya nothing is ~ther from my thoughts mawazo yetu hayatofautiani sana. ~ ther most adj mbali kabisa on the ~ ther side of the street upande wa pili wa mtaa. farthest adj & adv mbali sana, mbele kabisa, mbele kupita kina kikuu. at the ~thest 1 mwisho kabisa. 2 (of time) kwa kuchelewa kabisa.