fantasy

n 1 uwezo wa kubuni/ kuwaza/kutunga taswira; matokeo ya mawazo ya kinjozi. 2 ndoto, njozi, ruya. fantasize vt,vi fantasize (about) ota (ukiwa macho), waza.