fang

n 1 chonge, jino la mnyama (hasa kwa wala nyama). 2 jino lenye sumu (la nyoka). 3 shina la jino.