fancy
n 1 ubunifu mere ~ wazo tu, ndoto tu. 2 fikira, wazo, ndoto the ~ took him wazo lilimjia. 3 a ~ (for) mapenzi, upendeleo. take a ~ to penda. take/catch the ~ of furahisha, vutia. a passing ~ n kitu kivutiacho kwa muda mfupi. ~ free adj siopenda, -a utani/kutania, a mzahamzaha adj 1 -a kupendeza. 2 (esp of small things) -liorembwa; -a kupendeza macho; -a urembo. 3 (extravagant) -a mno, ghali sana. ~ dress n nguo iliyorembwa inayovaliwa kwenye sherehe maalum. ~ work n mashono ya urembo. 4 (sl derog) ~ man n kuwadi wa malaya. ~ woman n (derog) kimada; kipenda roho. 5 -liofugwa kwa ajili ya uzuri/urembo. 6 (US, of goods) bora. 7 -liobuniwa, -liowazi. fanciful adj 1 (of persons) bunifu sana, dhanifu, nayofuata ndoto tu. 2 -a njozi, -a kutunga; -enye umbo la ajabu. fanciful drawings n michoro ya ajabu. fancifully adv. vt 1 (imagine) waza, tunga moyoni, dhani just ~/~ that ona! ajabu! zuri. 2 (like) penda, vutiwa na I don't ~ his looks sivutiwi na sura yake. 3 hisi; fikiri, labda I ~ he is out nadhani ametoka I ~ so naona hivyo. 4 taka. 5 ~ oneself jiona.