fan

fan

1 n (colloq) shabiki.

fan

2 n pepeo, feni. vi,vt (fig) tia mshawasha. ~ belt n mkanda wa feni. ~ light n dirisha juu ya mlango lenye umbo la feni. vi,vt 1 pepea, punga. 2 (grain) pepeta; peta. 3 ~ up puliza moto; fukuta. 4 ~ out tanda.