false

adj 1 si kweli, -a uongo, si halisi. 2 nafiki; -danganyifu; -ongo; -mbea. 3 (artificial) si -a asili. 4 -a bandia. a ~ bottom n kitako-bandia. under ~ pretences kwa udanganyifu. sail under ~ colour 1 sl (of a ship) safiri na bendera isiyo halali. 2 (fig) jifanya kuwa tofauti na ulivyo adv kwa udanganyifu. (to) play ~ danganya. ~ hood n 1 uwongo. 2 kusema uongo guilty of ~hood kosa la kusema uongo. falsely adv. falseness n. falsify vt 1 danganya. 2 potosha. falsification n. falsity n 1 uwongo; udanganyifu. 2 uhaini.