faith

n 1 imani. ~ cure n kuponya kwa imani. ~ healing n kuganga kwa imani. 2 (promise) ahadi, miadi. 3 dini, itikadi. 4 utiifu, uaminifu. in good ~ kwa nia njema. in bad ~ kwa nia ya kudanganya. give/pledge one's ~ to ahidi kusaidia. keep/break ~ with kuwa/tokuwa mwaminifu. faithful adj 1 -aminifu. 2 -a kweli, halisi. 3 the ~ful n (pl) waumini (agh. Wa Kiislamu au Kikristu). faithfully adv kwa uaminifu. yours ~fully wako mwaminifu. faithfulness n. faithless adj. -danganyifu -ongo, -sioaminika. faithlessly adv. lessness n.