faculty

n 1 welekevu (ustadi, uwezo) wa kufanya tendo lolote be in possession of all one's faculties wa na akili timamu. 2 weza kusikia, kusema, kuelewa, kuona n.k. 3 (university) kitivo cha chuo kikuu. 4 (US) wahadhiri wote katika chuo kikuu; wahadhiri, maprofesa wa kitivo.