factor

n 1 (arith) zao mtiririko; namba kamilifu. 2 kweli/hali inayosaidia kuleta matokeo; kipengele 3. wakala; mtu anayenunua na kuuza kwa riba. factorize vt tafuta zao mtiririko.