faction

n 1 kikundi kidogo ndani ya kundi zima. 2 ugomvi baina ya vikundi tofauti vya chama au jumuiya moja. factious adj.