facile

n -epesi kufanyika au kupatikana; -sio na maana, -epesi mno; (of speech, of writing) -a kufanyika kwa urahisi pasipo kujali ubora wake. facility n 1 (ease) urahisi, wepesi, hali iwezeshayo mtu kujifunza kitu kwa urahisi. 2 (pl) vifaa, nyenzo. facilitate vt (of an object, process) rahisisha, punguza shida, saidia.