fable

n 1 hekaya (za kufunza maadili). 2 kauli za uwongo. 3 ngano fupi adj -a kubuniwa. fabler n. fabulist n 1 mtungaji ngano, mwandishi wa kisa. 2 mwongo. vt (arch) 1 simulia hadithi za kubuni. 2 eleza uwongo.