fabian

adj (of person) -enye kukawilisha kwa hila ili kumchosha adui. n (GB) (mfuasi) mwenye kuleta mabadiliko ya Kijamaa taratibu.