extrapolate

1 (math) bashiri thamani ya tarakimu (kwa kutumia tarakimu zilizopo). 2 tabiri (mambo ya baadaye kutokana na habari zinazofahamika tayari). extrapolation n