extort

vt ~ (from) pata kwa kutumia nguvu; pokonya, ghusubu. extortion n kutoza (kupata) kwa nguvu, kutaka bei kubwa sana kwa kitu, kughusubu. extortionate adj 1 -a kupokonya, -a kughusubu. 2 (of price) ghali mno.