external
adj 1 -a nje, lio nje. ~ examiner n mtahini wa nje. ~ auditing n ukaguzi hesabu wa nje ~ economy uchumi wa nje, iktisadi za nje. 2 (med) for ~ use -a kutumika kwenye ngozi tu; (foreign) -a nchi nyingine, -a kigeni, -a nje. ~ affairs n mambo ya nje. 3 (unessential) -a juu juu. n (sl) externals n sura ya nje, maonekano, -sio -a kiini. ~ize/ exteriorise vt fanya -a nje/geni. externally adv.