extend

vt,vi 1 (stretch out) nyosha, tandaza (mwili, mikono, n.k.). 2 (stretch) vuta, endeleza, eneza (waya, kamba, n.k.). 3 (prolong) ongeza, refusha ~ a line refusha mstari. ~ credit ongeza muda wa mkopo. ~ time ongeza muda. 4 (reach) -enda hadi, fikia the region ~s as far as that river mkoa unafikia mto ule. 5 ~ something (to somebody) toa, -pa (msaada, mwaliko, salamu n.k.) kwa mtu fulani ~ a welcome karibisha. 6 (usu passive) fanya kutumia nguvu he won without being fully ~ed alishinda bila kutumia nguvu zote. extension n 1 upanuzi, uenezi the extension of trade upanuzi wa extension biashara. 2 nyongeza an extension to a hotel nyongeza ya hoteli. extension education n elimu ya nje ya vyuo. 3 (of telephone) mkondo. 4 (gram.) mnyambuliko. extensive adj 1 -a kuenda mbali, -enye eneo kubwa, -kubwa. extensive farming n kilimo chenye eneo kubwa. 2 kubwa sana the storm caused extensive damage kimbunga kilisababisha hasara kubwa sana. extensiveness n. extensively adv. extent n 1 ~ (of) urefu, eneo, ukubwa. 2 (degree) kadiri to a certain/to some ~ kwa kiasi fulani to what ~? kwa kiasi gani? to such an ~ that kiasi kwamba. extensor n (biol) musuli wa mpanuko.