extempore

adv (spoken or done) bila kujiandaa, papo hapo speak ~ sema bila kuandaa adj -enye kutungwa na kusemwa papo hapo an ~ speech hotuba ya papohapo. extemporaneous; extemporary adj. extemporize vi ongea bila kujiandaa, faragua.