exploit

exploit

1 n tendo (la ujasiri, ushujaa, sifa, n.k.).

exploit

2 vt 1 chimba (madini, mgodi);tumia/endeleza (nguvu za maji/za asili) 2 (derog) nyonya. exploiter n mnyonyaji; mchimbaji; mtumiaji, mwendelezaji. exploitation n unyonyaji; utumiaji, uendelezaji.