explain

vt 1 ~ something to somebody eleza; fafanua; fasili ~ the riddle to him mfumbulie fumbo. 2 dhihirisha, toa sababu. ~ something away eleza vinginevyo (kumtoa mtu hatiani), (ji)tetea I can ~ naweza kuelezea. explanation n 1 maelezo; ufafanuzi; fasili say something in explnation of one's conduct toa maelezo ya mwenendo wake. 2 (reason) sababu, kisa, hoja (za kuelezea). explanatory adj fafanuzi, -a kueleza this statement is self explanatory hoja hii inajieleza.