experience

n 1 uzoefu (wa mambo yamaisha), tajriba he has much ~ in leading young people ana uzoefu mkubwa katika uongozi wa vijana. 2 tukio (linaloathiri maisha ya mtu). vt pitia, pata uzoefu katika jambo fulani I have ~d many problem in my life nimepitia matatizo mengi katika maisha yangu. experienced adj -enye uzoefu; mjarabu an ~d driver dereva mwenye uzoefu. experiential adj -nayotokana na uzoefu wa mtu; -a tukio/hisia.