expedient

adj (usu pred) -a kufaa, -a manufaa kwa lengo fulani ~ plan mpango wa kufaa kwa lengo fulani. expedience; expediency n 1 manufaa. 2 (derog) kuangalia faida yako tu.