expatriate

vt 1 ~ oneself hama/ondoka kutoka nchini mwako; ishi nje ya nchi yako; kataa uraia wako. 2 kanusha, fukuza nchini. n 1 mtu akaaye nje ya nchi yake. 2 mtaalamu kutoka nchi ya kigeni. expatriation n.