exorbitant

adj (of a price, charge or demand) -a kupita kiasi, kubwa mno, ingi mno the price of this is ~ bei ya hiki ni kubwa mno, ni ghali sana. exorbitantly adv.