exit

n 1 kutoka kwa mchezaji jukwaani make one's ~ ondoka. 2 mlango wa kutoka (kwenye ukumbi wa sinema, n.k.). vi 1 toka, ondoka. 2 (drama) Pl exeunt toka jukwaani. E~ Ayubu Ayubu anatoka. exodus n (sing only) kutoka, kuhama, kuondoka kwa watu wengi pamoja. (rel.) Book of E~ n Kitabu cha Kutoka. the Exodus n Kutoka kwa Waisraeli Misri (1300 KK).