exist

vi -wa hai, ishi, wapo he ~ed on grass aliishi kwa kula majani where does it ~ huishi/hupatikana wapi? makao yake wapi? do spirits~? mizimu ipo? existence n 1 kuweko, kuishi there is no such thing in ~ence hakuna kabisa kitu cha namna hiyo come into ~ence kuwepo. 2 an ~ence n maisha lead a happy ~ence kuwa na maisha mazuri. existent adj -a wakati huu, nayobaki. existential adj -enye kuhusu maisha. existentialism n falsafa inayokiri kwamba dunia haina mantiki na binadamu yu peke yake, hivyo binadamu yu huru kuchagua mwenyewe na anawajibika kwa vitendo vyake. existentialist n mfuasi wa falsafa hiyo.