exile

n 1 kuhamisha; kufukuzwa mbali na kwao. 2 mkimbia kwao. in ~ mbali na kwao (sababu ya siasa, n.k.) go into ~ enda uhamishoni. vt fukuza, hamisha (kwa nguvu).