exigency

n dharura, hali ya kuhitaji sana. exigent adj 1 -a kuhitaji kushughulikiwa haraka. 2 (derog) -enye madai mno.