exhibit
n 1 maonyesho. 2 (leg) kizibiti, ushahidi. 3 (US) maonyesho. vt 1 onyesha hadharani (kwa mnada au kwa mashindano). 2 dhihirisha, onyesha (uwezo, n.k. wa mtu). exhibitor n mwonyeshaji. exhibition n 1 maonyesho. 2 kuonyesha, (tabia, maarifa n.k.). make an ~ ion of oneself fanya vituko hadharani, jiaibisha. 3 (GB) ruzuku ya fedha (apewayo mwanafunzi shuleni au chuoni). exhibitioner n mwanafunzi apokeaye ruzuku shuleni/chuoni. exhibitionism n 1 tabia ya kujitangaza, (kujitwaza); kuonyesha sehemu za siri za mwili hadharani. 2 exhibitionist n mjitwazaji: mtu anayeonyesha sehemu za siri hadharani.