exhaust

exhaust

1 n ekzosi. ~ pipe n bomba la ekzosi.

exhaust

2 vt 1 chosha kabisa ~ oneself by hard work jichosha kwa kazi ngumu. 2 tumia -ote, ondoa -ote, maliza -ote. ~ a drum maliza pipa zima. 3 sema yote ~ a subject sema yote kuhusu mada fulani. exhaustion n 1 kuishiwa nguvu, uchovu kabisa, mavune. 2 kutumia -ote. exhaustive adj kamilifu, -a kumaliza kabisa. exhaustively adv.