execute

vt 1 tekeleza, fanya, timiza. 2 (leg) tekeleza; funga/bana kisheria ~ a will tekeleza wasia; tia sahihi ~ a legal document tia sahihi mkataba wa kisheria. 3 adhibu kifo, ua ~ a criminal ua mhalifu (kwa sheria). 4 (of concert) cheza, onyesha (jukwaani). executant n mtekelezaji mpango; mpiga muziki. execution n 1 (performance) utekelezaji, utimizaji (wa jambo). put/carry something into execution tekeleza, timiza jambo. 2 ustadi katika uchezaji/ upigaji (mf. muziki). 3 (of weapons) uharibifu, uangamizaji. 4 kuua (kisheria). executioner n chakari. executive adj 1 -a utendaji. executive duties n kazi za utendaji executive secretary katibu mtendaji. 2 -enye mamlaka/madaraka ya uamuzi. ~ order n amri ya Rais n 1 the executive n serikali. Executive Committee n Halmashauri Kuu. 2 (in the civil service) mtendaji, mtekelezaji. 3 (business) bosi, meneja.